LOGO

BPL-2014-2015-LOGO-POABAADA ya Timu zote 20 kukipiga Ijumaa Siku ya Boksing Dei huku Vigogo wote wa Ligi Kuu England wakishinda Mechi zao, Ligi hiyo ipo tena kilingeni Jumapili kwa tena Timu zote 20 kucheza.
Mechi ya kwanza ya Jumapili ni kule White Hart Lane Jijini London wakati Tottenham Hotspur watakapoikaribisha Manchester United.
Mechi ya pili ni huko Saint Mary ambapo Southampton watakuwa Wenyeji wa Vinara wa Ligi Chelsea.
Kisha zitafuata Mechi 6 zikiwemo za Mabingwa Man City kucheza kwao Etihad na Burnley na Arsenal kuwa Wageni huko Upton Park kucheza na West Ham kwenye Dabi ya Jiji la London.
Mechi ya mwisho kwa Siku ya Jumapili ni ile Uwanjani Saint James Park wakati Wenyeji Newcastle wakicheza na Everton.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Saa za Bongo
Jumapili Desemba 28
1500 Tottenham v Man United             
1705 Southampton v Chelsea     
1800 Aston Villa v Sunderland              
1800 Hull v Leicester                 
1800 Man City v Burnley            
1800 QPR v Crystal Palace          
1800 Stoke v West Brom            
1800 West Ham v Arsenal          
1915 Newcastle v Everton

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top