Siku kadhaa baada ya Baraza la Sanaa la Taifa (Basata), kuifungia
Kampuni ya Lino International kuendesha mashindano ya Miss Tanzania kwa
miaka miwili, Mkurugenzi wa kampuni hiyo, Hashim Lundenga amesema ” hatua
hiyo imefikiwa kutokana na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu wenye
dhamira ya kuitoa kwenye mstari wa mafanikio sanaa ya urembo nchini ” .
Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani nchini” .
Lundenga alisema “uamuzi wa BASATA ni utekelezaji wa dhamira ya wachache walioamua kuhakikisha Miss Tanzania inapotea kwenye ramani ya burudani nchini” .
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni