TIMU ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeitandika
Benin mabao 4-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa leo
kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam,mchezo ambao kiemba amecheza kwa kiwango cha hali ya juu.
Nadir Ali Harob
‘Cannavaro’ wa Yanga ndiye alianza kabla ya sAmri Kiemba wa Simba kuongeza la
pili pia mabao mengine mawili ya stars yalifungwa na Thomas Ulimwengu kutoka TP Mazembe na Juma Luizio anayekipiga
Zesco ya Zambia.
bao la kufutia machozi kwa upande wa Benin limefungwa na suanon fadel dakika ya 90
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.