LOGO

Arsenal have topped the Injury League in 8 of the last 13 seasons.

Baadhi ya sababu zilizo tajwa kusababisha klabu ya Arsenal kuwa na rekodi ya juu ya majeruhi katika ligi kuu ya nchini Uingerza ni; Wachezaji kupenda kukaa na mpira kwa muda mrefu (possessing the ball for a long time), wachezaji kutopata muda wa kutosha wa kupumzika baada ya majeraha, kukosekana kwa wataalamu waliobobea katika  kuchunguza afya za wachezaji klabuni hapo.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top