
Atletico Madrid wamefanikiwa kuiondosha Real Madrid kwenye mashindano ya Kombe la Mfalme 'Copa del Rey' kwa jumla ya magoli 4-2 baada ya mchezo wa leo kutokqa sare ya 2-2 katika dimba la Santiago Bernabeu ambapo mchezo wa kwanza Atletico Madrid waliichapa Real Madrid magoli 2-0. Magoli ya Real Madrid yalifungwa Fernando Torres katika dakika ya 1 na 46 huku magoli ya Real Madrid yakifungwa na Sergio Ramos dakika ya 20 na dakika ya 54 kwa matokeo hayo Real Madrid wameachia ubingwa huo huku Atletico ikisonga mbele kwa robo fainali.









0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.