Ratiba ya ligi kuu England msimu wa 2015/2016 itatangazwa kesho asubuhi.
Timu
kubwa za EPL, Chelsea, Manchester City, Arsenal, Manchester United,
Liverpool zinasubiri kwa hamu kuona kama zitaanza na mechi ngumu au
rahisi.
Timu mpya zilizopanda ligi kuu, Bournemouth, Watford na Norwich pia zina presha kubwa ya kuanza na miamba ya EPL.
Timu zilizoshuka daraja, Queens Park Rangers, Burnley na Hull zitajua namna ya kuanza ligi ya Championship.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni