LOGO

Michuano ya FA CUP yamerejea tena kwa msimu huu wa 2014-2015 ambapo wikiend hii kutakuwa na michezo mbalimbali huku mabingwa watetezi Arsenal wakicheza na Hull City timu ambayo walicheza nayo finaly msimu uliopita huku Manchester United wakicheza na Yeovil, Chelsea watakipiga na Watford na Manchester City watakipiga na Sheffield Wednesday timu itakayofungwa itayaaga mashindano hayo huku zitakazotoka droo zitarudiana.
 
FA CUP
RATIBA
Saa za Bongo
Ijumaa Januari 2
2245 Cardiff v Colchester
Jumamosi Januari 3
Zote Saa 12 Jioni
Barnsley v Middlesbrough
Blyth Spartans v Birmingham City
Bolton v Wigan
Brentford v Brighton
Cambridge v Luton
Charlton v Blackburn
Derby v Southport
Doncaster v Bristol City
Huddersfield v Reading
Fulham v Wolves
Huddersfield v Reading
Leicester v Newcastle       
Millwall v Bradford  
Preston v Norwich  
Rochdale v Nottm Forest  
Rotherham v Bournemouth
Tranmere v Swansea        
West Brom v Gateshead    
Jumapili Januari 4
Zote Saa 10 Jioni
Dover v Crystal Palace      
QPR v Sheff Utd     
Sunderland v Leeds
Zote Saa 12 Jioni
Aston Villa v Blackpool     
Man City v Sheffield Wednesday  
Southampton v Ipswich    
Stoke v Wrexham   
1830 Yeovil v Man United 
1900 Chelsea v Watford   
2030 Arsenal v Hull

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top