LOGO

PREVIEW-Man-City-celes.jpg
Man City 3 Sunderland 2
Mabingwa Watetezi Man City waliongoza 2-0 walipocheza Nyumbani Etihad na Sunderland kwa Bao za Yaya Toure na Stevan Jovetic lakini Jack Rodwell na Penati ya Adam Johnson ilifanya Gemu iwe 2-2.
Hata hivyo, Frank Lampard, ambae Leo hii ameongezewa Mktaba wake wa Mkopo hadi mwishoni mwa Msimu, aliipa ushindi City wa Bao 3-2 na kuwafanya Mabingwa hao waikamate Chelsea kwa Pointi kileleni.
Chelsea wanacheza baadae Usiku huu Ugenini huko White Hart Lane na Tottenham Hotspur katika Dabi ya Jiji la London.
VIKOSI:
Man City: Caballero, Zabaleta, Mangala, Demichelis, Clichy, Yaya Toure, Fernandinho, Nasri, Silva, Navas, Jovetic.
Sunderland: Pantilimon, Vergini, Jones, Brown, O'Shea, Rodwell, Larsson, Gomez, Johnson, Buckley, Wickham.
Refa: Roger East

Liverpool 2 Leicester City 2
Nahodha Steven Gerrard aliipa Liverpool uongozi wa Bao 2-0 kwa Penati ambazo hazikustahili lakini Leicester City waliibuka na kupata Sare ya Bao 2-2 kwa Bao safi za David Nugent na Jeff Schlupp.
VIKOSI:
Liverpool: Mignolet, Can, Toure, Sakho, Moreno, Gerrard, Lucas, Henderson, Coutinho, Lallana, Sterling
Leicester: Hamer, De Laet, Drinkwater, Morgan (c), Hammond, James, Vardy, Schlupp, Simpson, Mahrez, Wasilewski
Refa: Mike Jones

MATOKEO MENGINE
MATOKEO:
Saa za Bongo
Alhamisi Januari 1
Stoke 1 Man United 1                
Aston Villa 0 Crystal Palace 0      
Hull 2 Everton 0              
Liverpool 2 Leicester 2               
Man City 3 Sunderland 2            
Newcastle 3 Burnley 3      
QPR 1 Swansea 1             
Southampton 2 Arsenal 0           
West Ham 1 West Brom 1          

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top