Arsenal leo imepoteza point 3 muhimu baada ya kukubali kipigo cha magoli 2-0 dhidi ya Southampton kwenye Dimba la St Marys.
Arsenal walionekana wakicheza kichovu leo walifungwa goli la kwanza katika dakika ya 34 lililofungwa na Sadio Mane goli hilo lilidumu mpaka mapumziko.
Kipindi cha pili wakati vijana wa Arsene Wenger wakihangaika kurudisha bao hilo katika dakika ya 54 Dusan Tadic aliifungia Southamton goli la pili na la ushindi ambalo lilidumu mpaka dakika ya 90 ambapo Asenal walifungwa goli 2-0 na Southampton.
Kwa ushindi huo Southamton imefikisha point 36 huku Arsenal ikibaki na point zake 33
VIKOSI:
Southampton: Forster, Gardos, Alderweireld, Fonte, Bertrand, Ward-Prowse, Wanyama, Tadic, Mane, Steven Davis, Pelle
Akiba: Kelvin Davis, Yoshida, Long, Isgrove, Reed, McCarthy, Targett.
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Chambers, Coquelin, Oxlade-Chamberlain, Cazorla, Rosicky, Sanchez
Akiba: Walcott, Martinez, Campbell, Akpom, Bellerin, Maitland-Niles, Monreal.
Refa: Craig Pawson
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni