LOGO

Olivier Giroud (right) nods the ball past Joe Hart in the Manchester City goal to double Arsenal's advantage MATOKEO:
Jumapili Januari 18
West Ham 3 Hull City 0              
Man City 0 Arsenal 2        

BAADA ya Miaka Mitano ya kubamizwa huko Manchester Leo hii Arsenal wametoka kidedea baada ya kuwacharaza Mabingwa wa England Manchester City 2-0 Uwanjani Etihad Jijini Manchester na wao kujiletea matumaini ya kufuzu 4 Bora huku wakiwaacha City wakiwa Pointi 5 nyuma ya Vinara Chelsea kwenye Msimamo wa Ligi Kuu England.
Ushindi huu umewafanya Arsenal wawe Nafasi ya 5 wakiwa Pointi 1 nyuma ya Man United walio Nafasi ya 4, Pointi 3 nyuma ya Timu ya 3 Southampton, Pointi 7 nyuma ya City na Pointi 12 nyuma ya Vinara Chelsea.
Kwa City hili ni pigo kubwa hasa baada ya kuwa na wimbi la Mechi 12 bila kufungwa na hasa ukizingatia Mechi yao inayofuata ya Ligi ni ya Ugenini hapo Januari 31 huko Stamford Bridge dhidi ya Chelsea.
Ushindi huu wa Arsenal ulianza kwa Penati laini aliyotoa Refa Mike Dean baada ya kuamua Vincent Kompany amemchezea Faulo Nacho Monreal na Santi Cazorla kufunga Penati hiyo katika Dakika ya 24.
Arsenal walifunga Bao lao la Pili Dakika ya 66 baada ya Frikiki ya Cazorla kuunganishwa kwa Kichwa na Olivier Giroud.
 Hart can only look back in anger as the ball nestles in his net and Arsenal head off in celebration at scoring a second goal
VIKOSI:
Man City: Hart; Zabaleta, Kompany, Demichelis, Clichy; Fernandinho, Fernando; Jesus Navas, Silva, Milner; Aguero
Akiba: Sagna, Dzeko, Kolarov, Caballero, Lampard, Mangala, Jovetic.
Arsenal: Ospina; Bellerin, Mertesacker, Koscielny, Monreal; Ramsey, Coquelin, Cazorla; Oxlade-Chamberlain, Giroud, Sanchez
Akiba: Szczesny, Gibbs, Rosicky, Ozil, Walcott, Flamini, Chambers.
 REFA: Mike Dean 

Manchester City captain argues his case with referee Mike Dean after conceding the first-half penalty at the Etihad

Cazorla leads the Arsenal celebrations after the Spaniard kept his cool to fire home from the penalty spot

Jan 18th 2015 - Manchester, UK - MANCHESTER CITY V ARSENAL - Man City Arsenal goal Cazola
PIcture by Ian Hodgson/Daily Mail
Santi Cazorla celebrates with Olivier Giroud
Kompany fouls Giroud and is then shown the yellow card as Manchester City fought to get back into the game at the Etihad

Arsenal midfielder Alex Oxlade-Chamberlain clashes with Manchester City's Sergio Aguero as they vie for possession during the   
Sergio Aguero, Steven Jovetic and Frank Lampard look dejected as Manchester City head for a crushing defeat by Arsenal

Cazorla crashes into Argentine striker Aguero and concedes the foul, earning himself a booking in the process

Arsene Wenger appeals to the officials during a 2-0 win at Manchester City as his Arsenal side prevailed at the Etihad
Arsenal's Aaron Ramsey evades the attention of Manchester City pair Jesus Navas (right) and Fernando (left)

Aguero watches on as he narrowly misses out on connecting with a cross in front of Arsenal's goal during the 2-0 defeat 

David Silva was well marked all match by a resilient Arsenal midfield, as Francis Coquelin slides in to stop the Spaniard on this occasion 

Arsenal keeper David Ospina celebrates the morale boosting victory at the Etihad with Gunners skipper Per Mertesacker

Goalscorer Olivier Giroud salutes the travelling Arsenal fans after his header guided Arsene Wenger's side to a crucial win on Sunday

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top