LOGO

 Le Roy blasts Caf after Afcon traffic chaos
MASHINDANO ya Mataifa ya Afrika, AFCON 2015, yameanza Leo na Wenyeji Equatorial Guinea kutoka Sare 1-1 na Congo katika Mechi ya Kundi A iliyochezwa Estadio de Bata Mjini Bata.
Wenyeji Equatorial Guinea walitangulia kufunga katika Dakika ya 16 kwa Bao la Nsue lakini kwenye Dakika ya 87 Thievy Bifoum aliisawazishia Congo.
Baadae hii Leo itachezwa Mechi nyingine ya Kundi A kati ya Burkina Faso na Gabon Uwanjani hapo hapo Estadio de Bata.
VIKOSI:
Equatorial Guinea: Ovono, Da Gracia, Mbele, Iban, Emilio Nsue, Balboa, Boula, Ivan, Sipo, Zarandona, Ganet
Congo: Mafoumbi, F. Nganga, Moubhio, Moutou, Oniangue, N'Dinga, Dore, Bifouma, Gandze, Baudry, Babele.
REFA: B. Gassama [Gambia]

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top