RATIBA LIGI KUU ENGLAND EPL SIKU YA BOXING DAY MAN UNITED KUCHEZA NA NEWCASTLE, CHELSEA KUIKABILI WESTHAM, ARSENAL MAN CITY NAO DIMBANI SIKU HIYO
Ligi kuu nchini England imerejea tena wiki hii katika siku ya Boxing Day tarehe 26 December kwa timu mbalimbali kusaka pointi 3 kwenye viwanja mbalimbali.
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Saa za Bongo
Ijumaa Desemba 26
1545 Chelsea v West Ham
1800 Burnley v Liverpool
1800 Crystal Palace v Southampton
1800 Everton v Stoke
1800 Leicester v Tottenham
1800 Man United v Newcastle
1800 Sunderland v Hull
1800 Swansea v Aston Villa
1800 West Brom v Man City
2030 Arsenal v QPR
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni