LOGO

mtibwa-750696
Mvua kubwa na upepo mkali unaoendelea katika maeneo ya Manungu mkoani Morogoro umepelekea mchezo wa ligi kuu ya vodacom kati ya wenyeji Mtibwa sugar na Stand united kushindwa kuendelea.
Mchezo huo uliokuwa umechezwa kwa dakika 22 ulisimama baada ya hali ya hewa kuhatarisha usalama kwa wahusika wa mchezo huo na kupelekea kuhairishwa mchezo kutokana na kutokuwepo kwa dalili ya mvua hiyo kukatika na kuacha uwanja katika hali ya usalama.
Kutokana na kanuni za ligi kuu mchezo huo unatakiwa umaliziwe ndani ya masaa 24 yajayo.
Wakati mchezo unasimama hakuna timu iliyo kwisha ona nyavu za wapinzani wao. Mtibwa suar

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top