
Alexis Sanchez alikuwa mtu wa kwanza kuona nyavu katika mchezo huo baada ya kuifungia bao timu yake ya Arsenal katika dakika ya 37 baada ya cross iliyopigwa na Gibbs na kufanya Arsenal kuongoza hadi mapumziko kwa goli 1,Kipindi cha pili bado Arsenal walionekana bado wanatafuta goli la jingine na kufanikiwa kuongeza goli la pili katika dakika ya 65 kupitia kwa mkongwe Thomas Rosicky lakini QPR walijitahidi kusawazisha magoli hayo lakini kukosa umakini kwa washambuliaji wake walishindwa kufanya hivyo.
Mchezaji wa Arsenal Oliver Giroud alipata kadi nyekundu baada ya kumchezea vibaya mchezaji wa QPR na katika dakika 79 QPR walijipatia bao la kusawazisha kupitia kwa Charlie Austin kwa mkwaju wa Penalty na mpaka dakika 90 zinakamilika Arsenal 2-1 dhidi ya QPR na kujikusanyia point 30 huku wakishika nafasi ya 6.

VIKOSI
Arsenal: Szczesny, Debuchy, Mertesacker, Monreal, Gibbs, Rosicky, Flamini, Cazorla, Sanchez, Giroud, Welbeck.
Subs: Podolski, Ospina, Walcott, Chambers, Campbell, Coquelin, Bellerin.
Goals: Sanchez 37, Rosicky 65
Red Card: Giroud
QPR: Green, Caulker, Ferdinand, Onuoha, Isla, Kranjcar, Henry, Mutch, Traore, Vargas, Austin.
Subs: Hill, Phillips, Fer, Wright-Phillips, McCarthy, Hoilett, Zamora.
Goal: Austin (pen) 79
Referee: Martin Atkinson (W Yorkshire)
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni