LOGO

Ligi kuu nchini England imeendelea tena leo siku ya boxing Day kwa michezo mbalimbali kupigwa katika viwanja tofauti huku kila timu ikisaka point 3 muhimu.
 Leaders Chelsea recorded their third straight 2-0 Premier League victory on Boxing Day against London rivals West Ham
Mchezo wa kwanza ulikuwa ni vinara wa ligi timu ya Chelsea walipoikaribisha Westham katika dimba la Stanford Bridge ambapo chelsea ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa magoli 2-0 na kujihakikishia nafasi ya 1 kwa kufikisha point 45 Magoli ya Chelsea yalifungwa na Nahodha John Terry katika dakika 31 na Diego Costa katika dakika 62
Chelsea were in complete control from start to finish as they eased past West Ham at Stamford Bridge
VIKOSI
Chelsea: Courtois 6.5, Ivanovic 7, Cahill 7, Terry 7.5, Azpilicueta 7, Fabregas 7, Matic 7.5, Willian 6.5 (Ramires 86), Oscar 6.5 (Mikel 83), Hazard 6.5, Costa 7 (Drogba 83).
Goals: Terry 31, Costa 62.

West Ham: Adrian 7.5, Jenkinson 6.5, Collins 6, Reid 6, Cresswell 6, Nolan 5.5, Noble 5.5 (Song 59, 6), Kouyate 5, Downing 5.5 (Amalfitano 74, 6), Carroll 5 (Sakho 59, 5.5), Valencia.

Referee: Michael Oliver (Northumberland).
Attendance: 41,589.
 Branislav Ivanovic was involved in a flashpoint towards the end of the first half after taking a tumble in the West Ham penalty area
 Manchester City nao bado wanaifukuza Chelsea kileleni baada ya kushinda 3-1 dhidi ya Westbromwich Albion magoli ya Man city yalifungwa na Fernando dakika ya 8 Yaya Toure dakika ya 13 na David Silva dakika ya 34 huku la Westbrom likifungwa na Brown Ideye dakika ya 87

Manchester City players Yaya Toure, David Silva, Jesus Navas, Samir Nasri, Fernando and Bacary Sagna celebrate their victory

VIKOSI
WBA 4-2-3-1: Foster 4; Wisdom 5, McAuley 5, Lescott 4, Pocognoli 3 (Gamboa 66’ 5); Morrison 5.5, Mulumbu 5; Sessegnon 5, Gardner 5 (Brunt 66’ 5), Varela 4 (Ideye 66’ 5); Berahino 5

Manchester City 4-2-3-1: Hart 6.5; Sagna 6, Demichelis 6.5, Mangala 6.5, Clichy 6.5; Toure 7 (Fernandinho 69’ 5), Fernando 7; Navas 7.5, Silva 8 (Kolorov 63’ 6), Nasri 7.5 (Lampard 75’); Milner 7.5
Manuel Pellegrini 7

Ref: Mark Clattenburg 7
Att: 26,040 

MATOKEO MENGINE

England - Premier League December 26
FT
Chelsea
West Ham United
FT
Burnley
Liverpool
FT
Crystal Palace
Southampton
FT
Everton
Stoke City
FT
Leicester City
Tottenham Hotspur
FT
Manchester United
Newcastle United
FT
Sunderland
Hull City
FT
Swansea City
Aston Villa
FT
West Bromwich Albion
Manchester City

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top