Nahodha wayne Rooney alikuwa shujaa wa mchezo huo kufunga magoli 2 kati ya magoli 3 waliyoifunga Newcastle. Goli la kwanza alifunga katika dakika ya 23 baada ya juhudi binafsi za Falcao kwa kuuwahi cross iliyopigwa na Mata na kumpasia Rooney na Kufunga bao hilo la kuongoza.Katika dakika ya 36 ya kipindi cha kwanza Rooney alifunga tena bao la pili baada ya kupoea pass ya kutoka kwa Mhispania Juan Mata ambapo mabao hayo yalidumu hadi kipindi cha kwanza kinakamilika.
Kipindi cha pili Robin van Persie aliongeza bao la 3 kwa kichwa na la ushindi kwa timu yake ya Manchester United, Papis Cisse aliifungia Newcastle goli la kusawqazisha kwa kwa mkwaju wa penalti katika dakika ya 87 hadi dakika ya 90 Manchester United imeshinda kwa jumla ya magoli 3-1 na kujikusanyia point 3 muhimu na kufanikiwa kushika nafasi ya 3 kwa kuwa point 35 kibindon.
VIKOSI
Manchester United:
De Gea, Jones, McNair, Evans, Valencia (Rafael, 80), Rooney, Carrick
(Fletcher 62), Young, Mata, Falcao (Wilson 65), Van Persie.
Scorers: Rooney 23, 36, Van Persie, 53
Newcastle:
Alnwick, Janmaat, Steven Taylor, Coloccini, Dummett (Cabella 63),
Anita, Colback, Armstrong (Cisse 63), Sissoko, Gouffran, Perez (Vuckic
82).
Scorer: Cisse pen, 87
Referee: Mike Jones (Cheshire)
Juan Mata played a throughball over the top of Newcastle defence to Falcao who managed to slide on his knees and pull the back
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni