
Arsenal imeibuka na ushindi wa magoli 4 -1 dhidi ya Newcastle United katika mchezo wa Ligi kuu England katika Mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Emirates.
Arsenal ilikuwa ya kwanza kujipatia bao lake kupitia kwa mshambuliaji wake Oliver Giroud katika Sekunde ya 15 ya mchezo huo, Sant Carzola alifunga bao la pili katika dakika ya 54 huku Newcastle wakijitathimini kwa kipigo hiko Giroud aliongeza tena bao la 3 katika dakika ya 58 na kufanya matokeo kuwa Arsenal 3 Newcastle 0.

Katika dakika 63 Newcastle kupitia Perez walijipatia bao la kufutia Machozi lakini haikutosha kubadilisha matokeo kwani katika dakika 88 Arsenal kupitia kwa Carzola tena ilijipatia bao la 4 kupitia penalty kwa Ushindi huo Arsenal imefikisha point 26 na kuchupa hadi ya 6 mwa Msimamo wa Ligi kuu ya England.
VIKOSI
Arsenal: Szczesny, Bellerin, Debuchy, Mertesacker, Gibbs, Oxlade-Chamberlain, Flamini, Cazorla, Sanchez, Welbeck, Giroud.
Subs: Podolski, Sanogo, Martinez, Campbell, Coquelin, Ajayi, Maitland-Niles.
Goal: Giroud 15 and 58, Cazorla 54 and 88
Newcastle: Alnwick, Janmaat, Coloccini, Williamson, Dummett, Tiote, Colback, Gouffran, Perez, Ameobi, Cisse.
Subs: Anita, Haidara, Cabella, Vuckic, Riviere, Armstrong, Woodman.
Goal: Perez 63
Referee: Lee Mason (Lancashire)
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni