LOGO

TIMU ZILIZOFUZU KUINGIA RAUNDI YA MTOANO:
-Real Madrid CF
-FC Barcelona
-Paris Saint-Germain
-Borussia Dortmund
-FC Bayern Munich
-FC Porto
BADO TIMU 10
Timu zinazomaliza Nafasi ya 3 zinapelekwa EUROPA LIGI

JUMANNE NOVEMBA 25
Saa za Bongo
KUNDI E
2000 CSKA Moscow v AS Roma
2245 Manchester City FC v FC Bayern Munich

KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
FC Bayern München
4
4
0
0
11
1
10
12
AS Roma
4
1
1
2
7
11
-4
4
PFC CSKA  Moscow                          
4
1
1
2
5
-9
-4
4
Manchester City FC
4
0
2
2
4
6
-2
2
UCL-2014-15-LOGOToka Kundi hili Bayern Munich wameshafuzu na wanatua Eithad kupambana na Man City ambayo inajua fika ni lazima washinde Mechi hii ili kuweka hai matumaini yao ya kufuzu yanayotaka pia washinde Mechi yao ya mwisho.
Mabingwa hao wa England wataingia kwenye Mechi hii bila ya Mastaa wao majeruhi, David Silva na Edin Dzeko na pia watamkosa Aleksandar Kolarov.
Bayern nao wana Listi ndefu ya majeruhi akiwemo Nahodha wao Philipp Lahm ambae atakuwa nje kwa Miezi Mitatu na wengine ni Claudio Pizarro, David Alaba, Holger Badstuber, Tom Starke, Pepe Reina, Javi Martinez na Thiago Alcantara.
Mechi nyingine ya Kundi hili ni mpambano mkali wa kutafuta nani Timu ya Pili kuungana na Bayern kwenye Raundi ijayo ambapo CSKA ni lazima kwanza waishinde AS Roma na tena kwa idadi nzuri ya Magoli na kuomba pia City wasishinde ili wao wawe nafasi nzuri.
Kwenye Mechi hii, AS Roma watacheza bila ya Leandro Castan, aliefanyiwa operesheni ya ubongo, wengine ambao sio fiti ni Maicon, Yanga Mbiwa, Kevin Strootman, Leandro Paredes na Vasilis Torosidis.
CSKA watawakosa Rasmus Elm na Bebras Natcho.
KUNDI F
2245 APOEL FC v FC Barcelona
2245 Paris Saint-Germain v AFC Ajax

KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Paris Saint-Germain
4
3
1
0
6
3
3
10
FC Barcelona
4
3
0
1
8
4
4
9
AFC Ajax
4
0
2
1
3
7
-4
2
APOEL FC                          
4
0
1
2
1
4
-3
1
Kundi hili tayari PSG na Barcelona zimeshafuzu na kinachogombewa ni nani atatwaa Nambari Wani kati yao na pia Timu ipi itatwaa Nafasi ya 3 ili kucheza EUROPA LIGI.
Lakini Ajax wanaweza kumaliza Nafasi ya 3 na kucheza UEFA Europa Ligi ikiwa watashinda na APOEL kufungwa.
PSG wanatarajiwa kuwa nae tena Staa wao Zlatan Ibrahimovic ambae alikuwa nje kitambo akiwa na maumivu.
KUNDI G
2245 FC Schalke 04 v Chelsea FC
2245 Sporting Clube de Portugal v NK Maribor 

KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Chelsea
4
2
2
0
9
2
7
8
Schalke
4
1
2
0
8
9
-1
5
Sporting Lisbon
4
1
1
2
8
8
0
4
NK Maribor
4
0
3
1
3
9
-6
3
Kundi hili bado halijapata Timu ya kusonga Raundi ya Mtoano lakini Chelsea watapita ikiwa watashinda au wakipata Sare ya Magoli 2 au zaidi.
Mahesabu mengine ni kwamba Sporting watatupwa nje wakifungwa au Schalke wakishinda wakati Maribor watatupwa nje wakifungwa au wakitoka Sare na Schalke kushinda.
KUNDI H
2000 FC BATE Borisov v FC Porto
2245 FC Shakhtar Donetsk v Athletic Club

KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
FC Porto
4
3
1
0
12
3
9
10
Shakhtar Donetsk
4
2
2
0
14
2
12
8
BATE Borisov
4
1
0
3
2
19
-17
3
Athletic Bilbao
4
0
1
3
2
6
-4
1
FC Porto wameshafuzu na watajihakikishia Nafasi ya Kwanza wakishinda wakati Shakhtar wakikosa ushindi

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top