LOGO

Mchezo uliokuwa unawakutanisha kati ya Kagera Sugar na Mtibwa sugar ulivunjika baada ya dakika 45 za kwanza kumalizika kutokana na uwanja wa Manungu kujaa maji kutokana na mvua inayo endelea katika maeneo tofauti ya nchi. Mpaka mchezo unavunjika Mtibwa Sugar walikuwa mbele kwa goli 1-0, goli lililofungwa na Amme Ally, na hivyo mchezo huo utamaliziwa hapo kesho asubuhi.
Kwa mujibu wa kauli ya msemaji wa Mtibwa Sugar Masawe Bwiru amemsema kuwa viongozi wa pande zote tatu zinazo husika na mchezo huo wameafikiana mchezo huo kuhitimishwa hapo kesho saa mbili asubuhi katika uwanja huo wa Manungu na matokeo ya kibaki kama yalivyo.



MICHEZO YA KESHO


  



2014-11-09
MTIBWA SUGARVs    KAGERA SUGAR
SIMBA SCVs    RUVU SHOOTING
JKT RUVUVs    NDANDA FC 






















                                                                                                                                                                                                                                      



0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top