LOGO

LIGI KUU ENGLAND RATIBA/MATOKEO:
Saa za Bongo
Jumamosi Novemba 8
Liverpool 1 Chelsea 2
Burnley 1 Hull 0
Man United 1 Crystal Palace 0
Southampton 2 Leicester 0
West Ham 0 Aston Villa 0
2030 QPR v Man City
BPL-2014-2015-LOGO-POAJUAN MATA aliingizwa Dakika ya 63 kuchukua nafasi ya Adnan Januzaj na Dakika 4 baadae kufunga Bao pekee na la ushindi kwa Manchester United walipocheza nyumbani kwao na Crystal Palace kwenye Mechi ya Ligi Kuu England.
Ushindi huu umewapaisha Man United hadi nafasi ya 6 kwenye Mechi abayo walikuwa na Difensi ya kuungaunga kufuatia kuumia kwa Wachezaji wao karibu wote wa Difensi.
VIKOSI:
Manchester United: De Gea, Valencia, McNair, Blind, Shaw, Fellaini, Carrick, Januzaj (Mata - 63'), Rooney, Di Maria (Wilson - 71'), van Persie
Akiba: Lindegaard, Vermijl, Blackett, Fletcher, Herrera, Mata, Wilson
Crystal Palace: Speroni, Mariappa, Delaney, Dann, Ward, Puncheon, Ledley, McArthur, Bolasie (Gayle - 81'), Chamakh (Bannan - 81'), Campbell (Doyle - 91')
Akiba: Hennessey, Kelly, Fryers, McCarthy, Bannan, Doyle, Gayle
REFA: CHRIS FOY
LIGI KUU ENGLAND
RATIBA:
Saa za Bongo
Jumapili Novemba 9
1630 Sunderland v Everton
1630 Tottenham v Stoke
1630 West Brom v Newcastle
1900 Swansea v Arsenal
MSIMAMO
NA
TIMU
P
GD
PTS
1
Chelsea
11
17
29
2
Southampton
11
18
25
3
Man City
10
10
20
4
West Ham
11
5
18
5
Arsenal
10
7
17
6
Man United
11
3
16
7
Swansea
10
3
15
8
Liverpool
11
-1
14
9
Tottenham
10
-1
14
10
Everton
10
2
13
11
West Brom
10
0
13
12
Newcastle
10
-4
13
13
Stoke
10
-2
12
14
Hull
11
-2
11
15
Sunderland
10
-7
11
16
Aston Villa
11
-11
11
17
Crystal Palace
11
-6
9
18
Leicester
11
-7
9
19
QPR
10
-11
7
20
Burnley
11
-13
7

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top