LOGO

 Liverpool
MATOKEO:
Jumanne Novemba 4
KUNDI A
Juventus 3 Olympiakos 2              
Malmö FF 0 Atletico Madrid 2                  
KUNDI B
FC Basel 4 Ludogorets Razgrad 0            
Real Madrid 1 Liverpool 0             
KUNDI C
Zenit St Petersburg 1 Bayer Leverkusen 2
Benfica 1 AS Monaco 0                 
KUNDI D
Arsenal 3 Anderlecht 3                 
Borrussia Dortmund 4 Galatasaray 1                  

 Fabio Borini (left), a surprise starter up front for Liverpool, is marshalled by Real defender Raphael Varane
REAL MADRID 1 LIVERPOOL 0           
Real Madrid, wakicheza Uwanjani kwao Santiago Bernabeu, wameifunga Liverpool Bao 1-0 na kufuzu kuingia Raundi ya Mtoano huku wakiwa na Mechi 2 mkononi.
Liverpool waliingia Uwanjani wakiwa wamewapiga Benchi Mastaa wao Nahodha Steven Gerrard, Raheem Sterling, Mario Balotelli na Henderson pengine ni dalilia ya kukata tamaa ama ni mbinu ya Meneja Brendan Rodgers kujitayarisha kwa pambano la Jumamosi la Ligi Kuu England ambalo wataikaribisha Chelsea Uwanjani Anfield.
Real walikwenda Haftaimu wakiwa Bao 1-0 kwa Bao la Dakika ya 27 la Karim Benzema.
Kipindi cha Pili Liverpool lakini walishindwa kupenya zaidi ya nafasi ya Lallana aliepiga nje.
VIKOSI:
Real Madrid: Casillas, Arbeloa, Varane, Sergio Ramos, Marcelo, Rodriguez, Modric, Kroos, Isco, Benzema, Ronaldo.
Akiba: Navas, Pepe, Bale, Hernandez, Nacho, Medran, Torro.

Liverpool: Mignolet, Moreno, Toure, Skrtel, Manquillo, Can, Lucas, Lallana, Allen, Markovic, Borini.
Akiba: Brad Jones, Johnson, Gerrard, Coutinho, Henderson, Sterling, Balotelli.

REFA: Viktor Kassai (Hungary)


 
ARSENAL 3 ANDERLECHT 3                 
Wakiwa kwao Emirates, Arsenal waliutupa uongozi wa Bao 3-0 na kuiruhusu Anderlecht kupata Sare ya Bao 3-3
Hadi Mapumziko Arsenal walikuwa mbele kwa Bao 2-0 kwa Bao za Penati ya Dakika ya 25 ya Mikel Arteta na jingine la Dakika 4 baadae Mfungaji akiwa Alexis Sanchez.
Arsenal walifunga Bao la 3 Dakika ya 58 kupitia Oxlade-Chamberlain na kuongoza 3-0 lakini Anderlecht wakapata Bao Dakika ya 61 Mfungaji akiwa Anthohy Vanden Borre na Gemu kuwa 3-1.
Dakika ya 73, Anderlecht walifunga Bao lao la Pili kwa Penati iliyopigwa na Anthohy Vanden Borre ambayo ilitolewa kufuatia Faulo ya Nancho Monreal.
Katika Dakika ya 90 Krosi ya Andy Najar ilunganishwa kwa Kichwa na Aleksandar Mitrovic na kufunga Bao 3 la kuipa Anderlecht Sare ya Bao 3-3.
Matokeo haya yamewacha Arsenal wahitaji angalau Pointi 1 ili kutinga Raundi ya Mtoano lakini wenzaowa Kundi lao, Borussia Dortmund, wao tayari wameshasonga baada ya kuibonda Galatasaray Bao 4-1.
VIKOSI:
Arsenal: Szczesny; Chambers, Mertesacker, Monreal, Gibbs; Arteta, Oxlade-Chamberlain, Ramsey; Alexis, Cazorla, Welbeck
Akiba: Martinez, Bellerin, Flamini, Rosicky, Podolski, Walcott, Sanogo.
Anderlecht: Proto, Deschacht, Mbemba, Vanden Borre, Praet, Kljestan, Tielemans, Najar, Conte, Cyriac, Acheampong
Akiba: Roef, Colin, Heylen, Dendoncker, Kawaya, Kabasele, Mitrovic.
REFA: Clément Turpin (France)
MSIMAMO:
KUNDI A
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Atletico Madrid
4
3
0
1
10
3
7
9
Juventus
4
2
0
2
5
4
1
6
Olympiacos
4
2
0
2
6
7
-1
6
Malmo
4
1
0
3
2
9
-7
3
KUNDI B
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Real Madrid CF
4
4
0
0
11
2
9
12
FC Basel 1893
4
2
0
2
6
6
0
6
PFC Ludogorets
4
1
0
3
3
8
-5
3
Liverpool FC
4
1
0
3
2
6
-4
3
KUNDI C
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Bayer Leverkusen
4
3
0
1
7
3
4
9
AS Monaco
4
1
2
1
1
1
0
5
FC Zenit St Petersburg
4
1
1
2
3
4
-1
4
Benfica
4
1
1
2
2
5
-3
4
KUNDI D
KLABU
P
W
D
L
F
A
+/-
Pts
Borrussia Dortmund
4
4
0
0
13
1
12
12
Arsenal FC
4
2
1
1
9
7
2
7
RSC Anderlecht
4
0
2
2
5
9
-4
2
Galatasaray AŞ                  
4
0
1
3
3
13
-10
 1

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top