LOGO


 
REAL MADRID Leo wameepuka kipigo cha tatu mfululizo kwenye La Liga baada ya kuifumua Deportivo La Coruna Bao 8-2.
Hadi Mapumziko Real walikwa mbele kwa Bao 3-0 huku Ronaldo akipiga Bao 2.
Nae Mchezaji wa Mkopo wa Real, Javier Hernandez ‘Chicharito’ alifunga Bao 2 baada kuingizwa Kipindi cha Pili.
Bao nyingine za Real zilifungwa na James Rodriguez na Gareth Bale, Bao 2.

 Ronaldo is congratulated by his team-mates after opening the scoring at the Riazor Stadium
MAGOLI:
Deportivo 2
-H. Medunjanin Dakika ya 51
-Toché 84
Real Madrid 7
-Cristiano Ronaldo Dakika ya 29, 41 & 78
-James Rodriguez 36
-Gareth Bale 66 & 74
_Chicharito 66 & 74

Hatitriki ya Cristiano Ronaldo ni yake ya 20 kwenye La Liga na imemfanya awe wa 3 nyuma ya Malejendar Telmo Zarra na Alfredo Di Stefano katika kupiga Hetitriki katika Historia kwenye Ligi hiyo Spain.

VIKOSI:
Deportivo (4-2-3-1): Lux; Laure, Diakite, Sidnei, Luisinho; Bergantinos, Medunjanin; Juanfran, Farina, Cuenca; Postiga
Real Madrid (4-2-3-1): Casillas; Arbeloa, Varane, Sergio Ramos, Marcelo; Modric, Kroos; Bale, Rodriguez, Ronaldo; Benzema.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top