LOGO


Jumamosi Septemba 20
QPR 2 Stoke 2
Aston Villa 0 Arsenal 3
Burnley 0 Sunderland 0
Newcastle 2 Hull 2
Swansea 0 Southampton 1
 Villa captain Gabriel Agbonlahor hurdles a challenge from Calum Chambers in the opening minutes at Villa Park
BAO 3 ndani ya Dakika 4 za Kipindi cha Kwanza zimewapa Arsenal ushindi wa Bao 3-0 walipocheza Ugenini huko Villa Park na Aston Villa huku Straika wao mpya Danny Welbeck akiifungia Bao lake la kwanza kabisa.
Arsenal walifunga Bao la kwanza Dakika ya 32 kupitia Mesut Ozil na Danny Welbeck kupiga Bao la Pili Dakika 2 baadae na Bao la 3 liliingia Dakika ya 36 baada ya Aly Cissokho kujifunga mwenyewe.
VIKOSI:
ASTON VILLA: Guzan, Hutton, Clark, Senderos, Cissokho, Weimann, Cleverley, Westwood, Delph, Richardson, Agbonlahor
Akiba: Okore, Bacuna, Sanchez, N’Zogbia, Given, Lowton, Grealish. ARSENAL: Szczesny, Chambers, Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta, Sanchez, Ramsey, Cazorla, Ozil, Welbeck
Akiba: Diaby, Coquelin, Ospina, Rosicky, Wilshere, Podolski, Oxlade-Chamberlain. REFA: Mike Jones
BURNLEY 0 SUNDERLAND 0
VIKOSI:
BURNLEY: Heaton, Trippier, Duff, Shackell, Mee, Arfield, Jones, Marney, Boyd, Jutkiewicz, Sordell
Akiba: Wallace, Kightly, Reid, Gilks, Ward, Keane, Barnes. SUNDERLAND: Mannone, Vergini, O’Shea, Brown, Van Aanholt, Cattermole, Giaccherini, Larsson, Rodwell, Johnson, Wickham
Akiba: Pantilimon, Jones, Bridcutt, Gomez, Altidore, Graham, Buckley. REFA: Anthony Taylor
NEWCASTLE 2 HULL CITY 2
Newcastle, wakiwa kwao St James Park, walitoka nyuma kwa Bao 2-0 na kuambua Sare ya Bao 2-2 walipocheza na Hull City.
Hull City walifunga Bao zao kupitia Nikica Jelavic, Dakika ya 48, na Mohamed Diame, Dakika ya 68, lakini ni Papis Cisse, alieingizwa Kipindi cha Pili, ndie aliwaokoa kwa kufunga Bao zao zote Dakika za 73 na 87.
VIKOSI:
NEWCASTLE: Krul, Janmaat, Coloccini, Williamson, Dummett, Colback, Tiote, Cabella, Sissoko, Gouffran, Riviere
Akiba: Anita, Cisse, Perez, Haidara, Elliot, Steven Taylor, Ameobi. HULL: McGregor, Elmohamady, Davies, Dawson, Robertson, Livermore, Huddlestone, Diame, Quinn, Jelavic, Hernandez
Akiba: Rosenior, Chester, Meyler, Brady, Harper, Aluko, Ramirez. REFA: Neil Swarbrick
SWANSEA CITY 0 SOUTHAMPTON 1
Bao la Dakika ya 80 la Mkenya Victor Wanyama, likiwa Bao lake la kwanza kabisa kwa Klabu yake, limewapa Southampton ushindi wa Bao 1-0 walipocheza Ugenini na Swansea City.
VIKOSI:
SWANSEA: Fabianski, Rangel, Fernandez, Williams, Taylor, Ki, Shelvey, Dyer, Sigurdsson, Routledge, Bony
Akiba: Emnes, Carroll, Gomis, Montero, Tremmel, Bartley, Richards. SOUTHAMPTON: Forster, Clyne, Fonte, Yoshida, Bertrand, Pelle, Schneiderlin, Ward-Prowse, Cork, Tadic, Long
Akiba: Kelvin Davis, Gardos, Steven Davis, Wanyama, Mayuka, Targett, McQueen. REFA: Jon Moss
QPR 2 STOKE CITY 2
QPR wakiwa kwao wamepata Sare ya 2-2 na Stoke City baada ya Niko Kranjcar kuwasawazishia katika Dakika ya 88.
Stoke City walitangulia kufunga katika Dakika ya 11 kwa Bao la Mame Diouf 11 na Steven Caulker kuswawazisha kwenye Dakika ya 42.
Bao la Pili la Stoke lilifungwa na Peter Crouch.
VIKOSI:
QPR: Green, Isla, Caulker, Ferdinand, Traore, Mutch, Barton, Fer, Kranjcar, Austin, Vargas. Akiba: Phillips, McCarthy, Onuoha, Henry, Dunne, Hoilett, Zamora
STOKE CITY: Begovic, Bardsley, Shawcross, Wilson, Pieters, Nzonzi, Whelan, Diouf, Adam, Moses, Crouch. Akiba: Huth, Muniesa, Arnautovic, Sidwell, Assaidi, Bojan, Sorensen.
REFA: Martin Atkinson

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top