
Ndanda FC imeanza vyema ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wageni wenzao Standi United gol 4 kwa moja huku Mbeya City wakienda suluhu ya bila kufungana.
Katika mchezo uliochezwa katika uwanja wa Kambarage mjini Shinyanga ulisshuhudia wageni Ndanda FC wakiibuka na ushindi wa goli 4-1 na kupelekea kuongoza ligi kwa kujikusanyia point 3.
Na katika uwanja wa Mabatini wageni Tanzania Prisons waliichapa wenyeji wao Ruvu shooting goli 2-0, huku Mgambo JKT wakiichapa goli 1-0 Kagera sugar.
MATOKEO YA MICHEZO YA LEO:
AZAM FC 3-1 POLISI MOROGORO
MTIBWA SUGAR 2-0 YANGA
MBEYA CITY 0-0 JKT RUVU
MGAMBO JKT 1-0 KAGERA SUGAR
RUVU SHOOTING 0-2 T.PRISONS
STAND UNITED 1-4 NDANDA FC
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni