LOGO

Timu ya soka ya Tanzania Taifa Stars imefanikiwa kusonga mbele kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia nchini urusi 2018 licha ya kufungwa goli 1-0 dhidi ya Malawi na kuibuka na jumla ya ushindi mwa bao 2-1.

Kwenye Mtanange huo Stars iliwaanzisha baadhi ya nyota wake wa kimtaifa Mbwana Samata pamoja na Thimas Ulimwengu huku mchezaji Mrisho Ngasa akianzia kama mchezaji wa akiba. huku

malawi wakiwaita wachezaji wake wa kimataifa akiwemo Christopher Banda alieifungia Malawi goli 12 kunako dakika ya 42 na kupelekea mpaka wakati wa mapumziko stars ikinyuma kwa goli 1-0.Kipini cha pili kilianza kwa kocha Chars Borniface Mkwasa kwa kuwaingiza Mrisho Ngasa pamoja na John Boco waliochukua nafasi ya Saidi Ndemla, pamoja na Faridi Mussa na kupelekea mpaka wa Dakika ya 90 Malawi wakiwa mbele kwa goli 1-0 na kutolewa nje ya kwa jumla yam goli 2-1

kufuatia Stars kupata ushindi wa goli 2-0 kwenye mechi ya awali iliyofanyika uwanja taifa.Stars sasa itapambana na Algeria kwenye mechi nyingine ya kuwania kufuzu kombe la dunia itakayofanyika november 14 katika uwanja wa taifa jijini Dar es salaam
.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top