KAYUMBA JUMA NDIE MSHINDI WA BSS 2015 AZOA MILIONI 50
Msanii kutoka dar es salaam Kayumba Juma ameibuka mshindi katika shindano la kusaka vipaji nchini Tanzania marufu BONGO STAR SEARCH BSS kwa msimu huu wa mwaka 2015 na kuijinyakulia kitita cha milion 50 za kitanzania huku msanii Nassibu Fonabo akishika nafasi ya pili pamoja na mwanadada Frida Amani kutoka Arusha akikamata nafasi ya 3 lakini pia Top 5 nya BSS mwaka huu watakuwa chini ya uangalizi wa kundi LA tip top kwa kipindi cha mwaka mmoja
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni