Ayew aliifungia magoli 10 timu yake ya Marseile msimu uliopita na Swansea inakuwa imewazidi mbio timu za Bayer Liverkusen, West Ham na AS Roma.
USAJILI DONE DEAL ANDREW AYEW AJIUNGA RASMI NA SWANSEA CITY
Kiungo wa Timu ya Taifa ya Ghana Andrew Ayew amejiunga na klabu ya Swansea inayoshiriki ligi kuu nchini England akitokea katika klabu ya Marseile ya ufaransa kwa mkataba wa miaka minne kwa uhamisho huru.
Ayew aliifungia magoli 10 timu yake ya Marseile msimu uliopita na Swansea inakuwa imewazidi mbio timu za Bayer Liverkusen, West Ham na AS Roma.
Ayew aliifungia magoli 10 timu yake ya Marseile msimu uliopita na Swansea inakuwa imewazidi mbio timu za Bayer Liverkusen, West Ham na AS Roma.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni