RAMADHANI SINGANO MESSI BADO NAIPENDA SIMBA SINA MPANGO NA YANGA Kiungo alieko huru kutoka baada ya mkataba wake na simba kuvunjwa na TFF Ramadhani Singano Messi amefuta uvumi wa kuhamia yanga baada kuandika katika ukurasa wake wa Facebook kuwa bado anaipenda Simba
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni