MWANAMUZIKI
Ali Kiba usiku wa jana ameng’ara katika tuzo za muziki Tanzania,
maarufu kama tuzo za Kili, akijinyakulia tuzo tano ikiwemo ya mwimbaji
bora wa kiume wa mwaka na ile ya mtumbuizaji bora wa kiume wa mwaka,
wakati Diamond ameambulia tuzo mbili tu.
Tuzo
zingine za Ali Kiba ni pamoja na wimbo bora wa Afro Pop, mtunzi bora wa
Bongo Fleva. Diamond ameibuka katika video bora ya mwaka kupitia wimbo
wake wa “Mdogo Mdogo” na wimbo bora wa Zouk Rhumba. Yamoto Band wamepata
tuzo moja ya Kundi Bora la Bongo Fleva. Mwimbaji mwenye sauti tamu na
mvuto wa kipekee, Christian Bella ametoka mtupu kwa kushindwa kuambulia
tuzo hata moja. Tuzo za Kili zimetolewa Jumamosi usiku katika ukumbi wa
Mlimani City jijini Dar es Salaam.
ORODHA KAMILI YA WASHINDI TUZO ZA 2015;
1. Kikundi Bora cha Mwaka - Bongo Fleva - Yamoto Band
2. Kikundi Bora cha Mwaka Taarab - Jahazi Modern Taarab
3. Bendi Bora ya Mwaka - FM Academia
4. Msanii Bora Chipukizi - Baraka Da Prince
5. Wimbo Bora Wenye Vionjo Vya Asili Ya Kitanzania (Waite) -Mrisho Mpoto Ft. Felly Kano
6. Wimbo Bora Wa Zouk/Rhumba - Nitampata Wapi - Diamond Platinumz
7. Wimbo Bora Wa Afro Pop - Mwana Ali Kiba
8. Video Bora Ya Mwanamuziki Ya Mwaka – Mdogo Mdogo - Diamond Platinumz
9. Mtayarishaji Bora wa Mwaka Bendi - Enrico
10. Mtayarishaji Bora wa Nyimbo wa Mwaka Bongo Fleva - Nahreel
11. Mtunzi Bora wa Mwaka- Hip Hop - Joh Makini
12. Mtunzi Bora wa Mwaka Bendi - Jose Mara
13. Mtunzi Bora wa Mwaka Bongo Fleva - Ali Kiba
14. Mtunzi Bora wa Mwaka Taarab- Mzee Yussuf
15. Mtumbuizaji Bora wa Muziki Wa Mwaka Wa Kiume - Ali Kiba
16. Mtumbuizaji Bora wa Muziki Wa Mwaka Wa Kike - Venessa Mdee
17. Mwimbaji Bora wa Kiume Taarab - Mzee Yussuf
18. Mwimbaji Bora wa Kiume Bongo Fleva - Ali Kiba
19. Mwimbaji Bora wa Kike Taarab - Isha Mashauzi
20. Mwimbaji Bora wa Kike Bongo Fleva - Vanessa Mdee
21. Wimbo Bora wa Taarab (Mapenzi Hayana Dhamana)- Isha Mashauzi
22. Wimbo Bora wa Mwaka (Mwana)- Ali Kiba
23. Wimbo Bora wa Kiswahili Bendi (Walewale) -Vijana Wa Ngwasuma
24. Wimbo Bora wa R&B (Siksikii)- Jux
25. Rapa Bora Wa Hip Hop - Kipi Sijasikia ( Prof J Ft. Diamond Platinumz)
26. Msanii Bora wa Hip Hop - Joh Makini
27. Wimbo Bora wa Afrika Mashariki (Sura Yako) - Sauti Sol
Vanessa Mdee akitumbuiza jana katika tuzo za Kili |

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni