SERENA WILLIAMS AFIKISHA TAJI LA 20 LA GRAND SLAMS MARA BAADA YA KUTWAA FRENCH OPEN 2015 Serena Williams kutoka marekani amefanikiwa kushinda taji lake kubwa la 20 baada ya kumfunga Lucie Safarova kutoka nchini Czech katika michuano ya wazi ya Ufaransa au FRENCH OPEN 2015 baada ya kumfumua kwa seti 6-3 6-7 (2-7) 6-2
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.