
Timu ya Arsenal imeweza kuingia nusu fainal ya kombe FA kwa kuifunga Manchester United magoli 2-1 kwenye dimba la Old Trafford Magoli ya Arsenal yalifungwa na Nacho Monreal dakika ya 25 na Danny Welbeck dakika ya 61 huku la Manchester United likifungwa na Wayne Rooney dakika ya 29 huku kiungo wa Manchester Unired Angel DI Maria akipewa kadi nyekundu dakika ya 77 kwa ushindi huo Arsenal inasubiri kucheza na mshindi kati ya Bradford au Readding.

VIKOSI
MANCHESTER UNITED (4-1-4-1):
De Gea 7.5; Valencia 6.5, Smalling 6.5, Rojo 7 (Januzaj 73, 6), Shaw
6.5 (Jones 46, 6); Blind 6; Di Maria 4, Herrera 6 (Carrick 46, 6.5),
Fellaini 7.5, Young 6.5; Rooney 7
Subs not used: Valdes, Rafael, Mata, Falcao
Goal: Rooney 29
Sent off: Di Maria
ARSENAL (4-2-3-1):
Szczesny 7; Bellerin 7 (Chambers 66, 7), Mertesacker 7, Koscielny 7.5,
Monreal 7; Cazorla 7, Coquelin 7.5; Oxlade-Chamberlain 7.5 (Ramsey 51,
7), Ozil 7.5, Sanchez 7; Welbeck 8 (Giroud 73, 7)
Subs not used: Martinez, Gibbs, Walcott Akpom
Goal: Monreal 25, Welbeck 61
Referee: Michael Oliver
Attendance: 74,285
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni