LOGO

Klabu ya soka ya Simba sc ya Dar es salaam imefanikiwa kutwaa taji la Mapinduzi Cup kwa penalty dhidi ya Mtibwa Sugar katika mechi ya Fainal iliyofanyika kwenye uwanja wa Amaani Visiwani Zanzibar baada ya dakika 90 kuisha kwa sare ya bila kufungana yan 0-0 ndio mikwaju ya Penalty ikapigwa na Simba sc kuibuka na penalty 4-3 dhidi ya Mtibwa na hivyo Simba sc kutawazwa kuwa mabingwa wapya wa MAPINDUZI CUP 2015???????????????????????????????
Hii ndio list ya wachezaji waliofunga magoli ya matuta (penalty) kwenye fainali hiyo.

MTIBWA: 1.Ally Lundenga (pata) 2.Shabaki Nditi (pata) 3.Rajab Jeba (kosa) 4.Ramadhani Kichuya (pata) 5.Vicent Barnabas (kosa)
SIMBA:
1.Awadhi Juma (pata) 2.Shabani Kisiga (kosa) 4.Ramadhani Kessy (pata) 5.Hassan Isihaka (pata)

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top