Mabondia Cosmas Cheka kushoto
akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa
utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb
28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Cosmas Cheka
kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati
wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika
feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni