
BAFANA
BAFANA imevuna pointi moja baada ya kutoka sare ya 1-1 dhidi ya Simba
Wateranga, timu ya Taifa ya Senegal katika mechi ya pili ya kundi C ya
michuano ya mataifa ya Afrika, AFCON inayoendelea kushika kasi nchini
Guinea ya Ikweta.
Afrika
kusini walikuwa wa kwanza kufunga goli katika dakika ya 47' kupitia kwa
Matthews Oupa Manyisa, lakini Senegal wakasawazisha dakika ya 60'
kupitia kwa Kala Mbodji.


Michuano
hiyo inaendelea leo kwa mechi za pili za kundi D ambapo Ivory Coast
'Tembo' wanachuana na Mali majira ya saa 1:00 usiku, baadaye Cameroon
wanachuana na Guinea.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni