Simba v Kagera Sugar
LIGI
KUU VODACOM, ambayo ilisimama baada ya kila Timu kucheza Mechi 7,
inarejea dimbani Ijumaa Desemba 26 kwa Mechi moja Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam ambapo Simba watacheza na Kagera Sugar.
Simba wapo Nafasi ya 7 wakiwa na Pointi 9 wakati Kagera Sugar wapo Nafasi ya 5 wakiwa na Pointi 10.
Kinara wa Ligi ni Mtibwa Sugar ambao wana Pointi 15 wakifuatiwa na Yanga wenye Pointi 13 na kisha Azam FC wenye pia Pointi 13.
Jumamosi
zitachezwa Mechi 3 za Ligi wakati Jumapili pia zipo Mechi 3 ikiwemo ile
Bigi Mechi ambapo Mabingwa Watetezi Azam Fc watawavaa Miamba ya Soka
Tanzania Yanga.
Nao
Kagera Sugar wametua Jijini Dar es Salaam Siku kadhaa nyuma wakiongozwa
na Kocha wao Mrage Kabange ambae ametabiri Mechi kuwa ngumu kwao hasa
kwa vile Simba kujiimarisha kwenye Dirisha dogo la Uhamisho.
Simba nao chini ya Kocha Patrick Phiri wamerejea Jijini baada ya kupiga Kambi ya Mazoezi huko Zanzibar.
LIGI KUU VODACOM: RATIBA
Jumamosi Desemba 27
Mtibwa Sugar v Stand United
Prisons v Coastal Union
JKT Ruvu v Ruvu Shootings
Jumapili Desemba 28
Mbeya City v Ndanda FC
Polisi Moro v Mgambo JKT
Yanga v Azam FC
MSIMAMO:
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
F
|
A
|
GD
|
PTS
|
1
|
Mtibwa Sugar
|
7
|
4
|
3 |
0
|
10
|
3
|
7
|
15
|
2
|
Yanga
|
7
|
4
|
1
|
2
|
9
|
4
|
4
|
13
|
3
|
Azam FC
|
7
|
4
|
1
|
2
|
8
|
4
|
4
|
13
|
4
|
Coastal Union
|
7
|
3
|
2
|
2
|
8
|
6
|
2
|
11
|
5
|
Kagera Sugar
|
7
|
2
|
4
|
1
|
5
|
3
|
1
|
10
|
6
|
JKT Ruvu
|
7
|
3
|
1
|
3
|
7
|
7
|
0
|
10
|
7
|
Simba
|
7
|
1
|
6
|
0
|
7
|
6
|
1
|
9
|
8
|
Polisi Moro
|
7
|
3
|
2
|
2
|
6
|
7
|
-1
|
9
|
9
|
Mgambo JKT
|
7
|
3
|
0
|
4
|
4
|
7
|
-3
|
9
|
10
|
Stand United
|
7
|
2
|
3
|
2
|
5
|
9
|
-4
|
9
|
11
|
Ruvu Shooting
|
7
|
2
|
1
|
4
|
4
|
7
|
-3
|
7
|
12
|
Tanzania Prisons
|
7
|
1
|
3
|
3
|
5
|
6
|
-1
|
6
|
13
|
Ndanda FC
|
7
|
2
|
0
|
5
|
8
|
12
|
-4
|
6
|
14
|
Mbeya City
|
7
|
1
|
2
|
4
|
3
|
5
|
-2
|
5
|
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni