
MATOKEO:
Jumamosi Desemba 20
Man City 3 Crystal Palace 0
Aston Villa 1 Man United 1
Hull 0 Swansea 1
QPR 3 West Brom 2
Southampton 3 Everton 0
Tottenham 2 Burnley 1
West Ham 2 Leicester 0

Manchester United wameendelea kukamata Nafasi ya 3 kwenye Ligi Kuu England wakiwa Pointi 7 nyuma ya Vinara Chelsea na Man City baada ya Leo kupata Sare ya 1-1 Ugenini huko Villa Park walipocheza na Aston Villa.
Villa walitangulia kufunga katika Dakika ya 18 kwa Bao la Christian Benteke lakini Radamel Falcao aliisawazishia Man United katika Dakika ya 53.
Villa walibaki Mtu 10 baada ya Agbonlahor kupewa Kadi Nyekundu katika Dakika ya 65 kwa kumchezea Rafu mbaya Ashley Young.
Ligi Kuu England itaendelea Jumapili kwa Mechi mbili na Jumatatu Mechi moja.

VIKOSI:
Aston Villa: Guzan, Lowton, Vlaar, Okore, Clark, Cissokho, Sanchez, Delph, Weimann, Agbonlahor, Benteke
Akiba: Given, Bacuna, Herd, N’Zogbia, Robinson, Grealish, Calder.
Man United: De Gea, Jones, Carrick, Evans, Valencia, Fletcher, Mata, Rooney, Young, Van Persie, Falcao
Akiba: Lindegaard, Blackett, McNair, Rafael, Di Maria, Januzaj, Wilson
REFA: Lee Mason
The Colombia international (bottom) was soon in the thick of the action as he slide tackles Villa defender Jores Okore





MAN CITY VS CRYSTAL PALACE

Kwenye Mechi ya Leo, City, wakicheza bila ya Sentafowadi anaetambulika kutokana na kuumia kwa Masentafowadi wao Sergio Aguero na Edin Dzeko, walitoka 0-0 hadi Mapumziko.
Lakini Kipindi cha Pili, Bao 2 za David Silva na Yaya Toure ziliwapa ushindi waba Bao 3-0 dhidi ya Palace.

VIKOSI:
Manchester City: Hart, Zabaleta, Demichelis, Mangala, Kolarov, Fernandinho, Navas, Yaya Touré, Silva, Nasri, Milner
Akiba: Caballero, Boyata, Sagna, Fernando, Lampard, Ambrose, Sinclair.
Crystal Palace: Speroni, Kelly, Dann, Hangeland, Ward, Puncheon, Jedinak, Ledley, McArthur, Bolasie, Campbell
Akiba:Hennessey, Mariappa, Delaney, Bannan, Thomas, Gayle, Zaha.
Manchester City players celebrate Silva's goal as they move level on points with Chelsea at the top of the table


0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni