
DROO RAUNDI YA MTOANO YA TIMU 16:
Basel v Porto
ArsenalvMonaco
Shakhtar Donetsk v Bayern Munich
Schalke v Real Madrid
Juventus v Borussia Dortmund
Bayer Leverkusen v Atletico Madrid
Manchester City v Barcelona
Paris Saint-Germain v Chelsea
Mechi
za Raundi ya Mtoano ya Timu 16 zitachezwa kwa mikondo miwili ya
Nyumbani na Ugenini hapo Februari 17/18 na 24/25 huku Marudiano yakiwa
Machi 10/11 na 17/18.
Washindi wa Makundi wataanza Mechi Ugenini na kurudiana Nyumbani kwao.


0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni