BREAKING NEWS : AMIS TAMBWE AMESAJILIWA NA YANGA. Amis Tambwe akiweka dole gumba fomu za kujiunga na YANGA kwa mkataba wa mwaka mmoja. Amis Tambwe akisaini mkataba wa kujiunga na YANGA…. Tambwe akiwa na Francis Kifukwe baada ya kusaini kujiunga na YANGA.
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni