
Timu ya Chelsea imweza kuingia finali ya kombe la Capital One Cup baada ya kuifunga timu ya daraja la pili Derby County kwa jumla ya mabao 3-1 katika mchezo uliochezwa kwenye uwanja iPro Stadium.
Alikuwa ni Eden Hazard aileipa uongozi Chelsea kwa kuifungia bao safi katika dakika 23 ya Mchezo, hadi kipindi cha kwanza kina kamilika Chelsea walikuwa mbele kwa 1-0 dhidi ya Derby.
Katika dakika 56 Beki Mbrazil Felipe Luis aliongezea Chelsea bao la pili kwa freeckick huku likiwa ni goli lake la kwanza tangia asajiliwe na Chelsea majira ya kiangazi msimu huu.

Mjerumani Andre Schurrle alieihakikishia Chelsea ushindi kwa kuifungia bao la tatu katika dakika 82 ya mchezo na kutinga katika hatua ya nusu fainali ya kombe hilo.
Goli la kufutia machozi la Derby County lilifungwa na Bryson katika dakika 70 ya mchezo

VIKOSI
Derby (4-3-2-1): Grant
6; Christie 6, Buxton 6, Keogh 5, Forsyth 6; Mascarell 6 (Ibe, 84),
Bryson 7, Hughes 7 (Hendrick 75, 6); Russell 7, Dawkins 6 (Ibe 57, 6);
Martin 5
Scorer: Bryson 70
Chelsea (4-2-3-1): Cech
6; Azpiluceta 6, Terry 7, Zouma 6 (Ivanovic 45, 6), Luis 7; Matic 6,
Mikel 6; Schurrle 7, Fabregas 8, Hazard 7 (Ramires, 84); Drogba 6 (Remy
63, 6).
Scorers: Hazard 23, Luis 56, Schurrle, 82.
Referee: Jon Moss 7
Man of the Match: Cesc Fabregas
Matokeo mengine
FT | Derby County | 1 - 3 | Chelsea |
FT | Sheffield United | 1 - 0 | Southampton |






0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni