LOGO

RATIBA/MATOKEO:
Saa za Bongo
Jumamosi Novemba22
Chelsea 2 West Brom 0              
Everton 2 West Ham 1               
Leicester 0 Sunderland 0            
Man City 2 Swansea 1                
Newcastle 1 QPR 0           
Stoke 1 Burnley 2   
2030 Arsenal v Man United         

CHELSEA 2 WEST BROM 0
BPL-2014-2015-LOGO-POAChelsea, wakicheza kwa Stamford Bridge, Leo hii wameendelea kupaa kileleni mwa Ligi Kuu England baada ya kuichapa West Bromwich Albion waliocheza Mtu 10 kuanzia Dakika ya 29.
Bao za Chelsea zilifungwa Dakika ya 11 na Diego Costa na Eden Hazrad katika Dakika ya 25.
Claudio Yacob wa WBA alipewa Kadi Nyekundu na Refa Lee Mason baada ya kucheza Rafu ya Miguu miwili kwa Diego Costa.
VIKOSI:     
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas, Willian, Oscar, Hazard, Costa
Akiba: Cech, Filipe Luis, Zouma, Ramires, Drogba, Schürrle, Remy
West Bromwich Albion: Foster, Wisdom, Dawson, Lescott, Baird, Dorrans, Gardner, Brunt, Yacob, Sessegnon, Berahino
Akiba: Morrison, Ideye, Anichebe, Myhill, Gamboa, McAuley, Samaras
REFA: Lee Mason

MAN CITY 2 SWANSEA 1
Mabingwa Watetezi Manchester City wameendelea kubaki Nafasi ya 3 wakiwa Pointi 8 nyuma ya Vinara Chelsea baada ya kutoka nyuma na kuichapa Swansea City 2-1 Uwanjani Etihad.
Swansea walitangulia kufunga katika Dakika ya 9 kupitia Wilfried Bony na Stevan Jovetic kusawazisha Dakika ya 19 na Yaya Toure kuipa City ushindi kwa Bao la Dakika ya 62.
VIKOSI:
Man City: Hart, Zabaleta, Kompany, Demichelis, Clichy, Navas, Fernandinho, Toure, Nasri, Jovetic, Aguero
Akiba: Caballero, Sagna, Mangala, Lampard, Fernando, Milner, Pozo.
Swansea: Fabianski, Rangel, Bartley, Williams, Taylor, Ki, Carroll, Sigurdsson, Dyer, Montero, Bony
Akiba: Tremmel, Tiendalli, Amat, Britton, Shelvey, Gomis, Barrow.
REFA: Neil Swarbri

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top