LOGO



 Rooney (right) doubled United's advantage with a delicate left-footed chip over replacement goalkeeper Emiliano Martinez (left) 
Timu ya Arsenal ya London imeendeleza uteja wake kwa timu ya Manchester United kwa kukubali kichapo cha magoli 2-1 nyumbani Emirates katika mchezo wa ligi kuu nchini England.
 David de Gea (centre) had an excellent performance in goal for the Red Devils denying several Arsenal shots
Arsenal walitawala mchezo kwa kipindi chote cha wazi na kukosa nafasi za wazi za kufunga kupitia kwa Wilshere na Welbeck na kufanya mchezo huo kwenda mapumziko wakiwa hawajafungana.
Kipindi cha pili kilianza kwa presha kwa man united lakini hali ilibadilika ambapo dakika ya 56 kipindi cha pili beki Keran Gibbs alijifunga kufuatia kujaribu kuokoa mpira uliopigwa na Antonio Valencia na kufanya matokeo kuwa 1-0 kwa man united kuongoza.
 Rooney (bottom right) is mobbed by his United team-mates after putting them 2-0 ahead in the 85th minute
Arsenal walijitutumua kujaribu kurudisha goli hilo lakini haikuwezekana kutokana na umahiri wa golikipa wa Man united David Degea kuokoa michomo mingi langoni kwake. Man united ilifanikiwa kujihahakiki ushindi kupitia kwa nahodha wake wayne Rooney katika dakika ya 85 baada ya Beki za Arsenal kupnda na kujisahau kurudi kukaba.
Majeruhi Oliver Giroud alitokea benchi aliifungia Arsenal goli la kufutia machozi katika dakika ya 95 nakufanya matokeo kuwa 2-1.
Hadi dakika 90 zinakamilika Manchester United imeibuka na ushindi wa magoli 2-1 dhidi ya Arsenal.
 Arsenal could have easily been 2-0 ahead in the opening minutes when Jack Wilshere saw a brilliant opportunity saved 
VIKOSI VILIKUWA KAMA IFUATAVYO.
Arsenal (4-3-2-1): Szczesny 5 (Martinez 59 - 5), Chambers 6, Mertesacker 6, Monreal 5.5, Gibbs 5.5, Arteta 6.5, Ramsey 5.5 (Giroud 77 - 6.5), Sanchez 6.5, Wilshere 7 (Cazorla 55 - 6), Oxlade-Chamberlain 7.5, Welbeck 6.5.
Subs not used: Rosicky, Podolski, Flamini, Bellerin.
Goal: Giroud 90+5 
Manager: Arsene Wenger 5
Man Utd: De Gea 8, Smalling 7, McNair 7, Blackett 6.5, Shaw 5 (Young 16 - 7) (Fletcher 89 - 6), Carrick 7, Valencia 7, Fellaini 6.5, Rooney 7, Di Maria 6.5, Van Persie 5.5 (Wilson 75 - 6). 
Goals -Gibbs Dakika ya 56 (Kajifunga mwenyewe)
-Rooney 85
Subs not used: Lindegaard, Mata, Januzaj, Ander Herrera.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top