LOGO


Diego Costa (right) lashes the ball home for Chelsea's second goal at Anfield
Chelsea leo imeendeleza wimbi lake la ushindi katika lgi kuu ya England kwa kuilaza Liverpool mabao 2-1 kwnye uwanja wa Anfield 
Wenyeji Liverpool ndio walikuwa wa kwanza kupata goli lililofungwa Emre Can dakika ya 9 ya mchezo kufuatia shuti alilopiga na kumbabatiza beki Gary Cahili na kutinga wavuni. Katika dakika ya 14 tu Gary Cahili alifuta makosa yake kwa kuifungia chelsea bao la kusawazisha na kufanya matokeo kuwa ni 1-1hadi mapumziko.
 Emre Can put Liverpool ahead after nine minutes with a shot that deflected in off Chelsea defender Gary Cahill (left)
Dakika ya 67 ya kipindi cha piliDiego Costa aliifungia Chelsea bao la ushindi kufuatia kazi nzuri iliyofanywa na Cesar Azpilicueta na hadi mwisho wa mchezo chelsea 2-1 liverpool.
 
VIKOSI VILIKUWA KAMA IFUATAVYO
Liverpool: Mignolet, Johnson, Skrtel, Lovren, Moreno, Gerrard, Can (Allen 70), Henderson, Coutinho (Borini 70), Sterling, Balotelli (Lambert 79). 
Subs: Jones, Toure, Lallana, Lucas.
 Goals: Can 9.
 
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Matic, Fabregas, Ramires (Willian 54), Oscar, Hazard (Luis 90), Costa (Drogba 90). 
Subs: Cech, Zouma, Mikel, Remy.

Goals: Cahill 14, Costa 67. 

Referee: Anthony Taylor.

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top