Ligi daraja la kwanza Tanzania Bara (FDL) inatarajiwa
kuanza kutimua vumbi siku ya Jumamosi, Oktoba 11 mwaka huu, ambapo timu
24 zitapambana kuwania nafasi tatu za kupanda Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara msimu wa 2015/2016.
Timu hizo zitakazoshiriki ligi hiyo zimegawanywa katika makundi mawili ya timu kumi na mbili kwa kila kundi. Mfumo utakaotumika ni ule wa kila klabu kucheza mechi za nyumbani na ugenini.
Kundi A linajumuisha timu za Lipuli,Tessema United, African Lyon, Friends Rangers, Villa Squad, Polisi Dar es Salaam, Majimaji, Ashanti United, JKT Mlale, Kimondo, Kurugenzi na African Sports.
Kundi B linazijumuisha timu za Toto African, JKT Kanembwa, Polisi Mara, Polisi Tabora, Mwadui,Mkamba Rangers, Burkina Faso, Green Warriors, JKT Oljoro, Rhino Rangers, Panone na Geita.

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni