UPTON PARK Usiku huu ilikuwa furaha iliyoanza Dakika 7 za kwanza baada ya West Ham kuitangulia Liverpool 2-0 na hatimae kushinda 3-1.
Winston Reid aliipa West Ham Bao la kwanza Dakika ya Pili na Diafra Sakho kuongeza Bao Dakika ya 7 lakini Dakika ya 26 Raheem aliiletea matumaini Liverpool kwa kuipa Bao moja baada ya kazi njema ya Mario Balotelli.
Hata hivyo, Dakika ya 88, Morgan Amalfitano aliikata maini Liverpool kwa kuipa West Ham Bao la 3.
MAGOLI:
West Ham 3
-Reid Dakika ya 2,
-Sakho 7
-Amalfitano 88
Liverpool 2
-Sterling Dakika ya 26
Ligi Kuu England inaendelea Jumapili kwa Mechi 4 ikiwemo ile Bigi
Mechi huko Etihad wakati Mabingwa Manchester City watakapopambana na
Vinara wa Ligi Chelsea.
VIKOSI:
WEST HAM UNITED: Adrian, Demel, Reid, Tomkins, Cresswell, Noble, Kouyate, Song, Downing, Sakho, Valencia.
Akiba: Zarate, Vaz Te, Jenkinson, Collins, Amalfitano, Jaaskelainen, Cole.
LIVERPOOL: Mignolet, Manquillo, Skrtel, Lovren, Moreno, Gerrard, Henderson, Lucas, Sterling, Borini, Balotelli.
Akiba: Brad Jones, Jose Enrique, Toure, Lambert, Sakho, Lallana, Markovic.
REFA: Craig Pawson

0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni