Kompany 28, ambae pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya ubelgiji ndie kapteni wa sasa wa Manchester amesema hajisikii furaha kushinda taji au mawili na city anahitaji kushinda zaidi anahitaji kufanya kazi ili ashinde mataji mengi zaidi na atapenda kustaafu akiwa ameshinda kila kitu na city huku akilitolea macho taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya .
Kompany alijiunga na City mwaka 2008 akitokea Hamburg SV ya Ujeruman na ameichezea city mechi 181 na kufunga magoli 11
Vicent Kompany anakuwa mchezaji wa 4 wa City kuongeza mkataba wengine SamirNasri, Alexander Kolarov na David Silva.
MATAJI ALIYOSHINDA AKIWA NA CITY
Premier League 2
FA CUP 1
Football league cup 1
FA community Shield 1
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni