DROO
ya kupanga Makundi ya UEFA CHAMPIONZ LIGI imefanyika hii Leo huko
Monaco na imezua Makundi ambayo yataleta Mechi safi kwa Washabiki.
Tafrija
ya Droo hiyo iliongozwa na Katibu Mkuu wa UEFA Gianni Infantino na
wakiwepo Mastaa wa zamani wa Soka waliowahi kutwaa Ubingwa wa Ulaya kina
Peter Schmeichel, Kipa wa Manchester United, Andres Iniesta, Andoni
Zubizaretta, Javier Zanetti na Paolo Maldini.
Mechi za Makundi zitaanza kuchezwa Septemba 15 na kumalizika Desemba 9.
PATA DROO KAMILI:
KUNDI A
-Paris Saint-Germain
-Real Madrid
-Shakhtar Donetsk
-Malmo
KUNDI B
-PSV Eindhoven
-Manchester United
-CSKA Moscow
-Wolfsburg
KUNDI C
-Benfica
-Atletico Madrid
-Galatasaray
-Astana
KUNDI D
-Juventus
-Manchester City
-Sevilla
-Borussia Monchengladbach
KUNDI E
-Barcelona
-Bayer Leverkusen
-AS Roma
-BATE Borisov
KUNDI F
-Bayern Munich
-Arsenal
-Olympiacos
-Dinamo Zagreb
KUNDI G
-Chelsea
-FC Porto
-Dynamo Kiev
-Maccabi Tel Aviv
KUNDI H
-Zenit St Petersburg
-Valencia
-Lyon
-Gent
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni