LOGO


Nahodha wa Liverpool Steven Gerrard ametangaza kuwa ataondoka Liverpool mwishoni mwa msimu huu baada ya kudumu liverpool kwa kipindi cha miaka 26.
 Los Angeles Galaxy hope to sign Liverpool captain Steven Gerrard when his contract expires in the summer
Gerrard alijiunga na Liverpool akiwa na umri wa miaka 8 mnamo mwaka 1987 na mpaka kufikia mwaka 1998 alipandishwa timu ya wakubwa na kuitumikia hadi msimu huu aliotangaza kuondoka Liverpool.
Gerrard alizaliwa mwaka 30 May 1980 na sasa ana miaka 34 katika mji wa Whiston, Merseyside,nchini  England ameichezea Liverpool mechi 691 na kufunga magoli 177 na kuwa viungo wachache waliofunga magoli zaidi ya 100 kwenye timu zao pia amechezea timu ya taifa mechi 114 na kufunga magoli 21 huku pia akitundika daluga kuchezea timu ya taifa mwaka jana mara baada ya kombe la dunia huku timu yake ikiishia hatua ya makundi.
Gerrard anafahamika kama Captain Fantastic atakumbukwa na wapenzi wa Liverpool kwa kuiongoza timu hiyo kutwaa mataji mbalimbali hasa lile la Uefa Champions League mwaka 2005 kwa kuifunga AC Milan kwa mikwaju ya Penalty.
Bado Gerrard hajaweka wazi atakwenda timu gani lakini vilabu kadhaa vya nchini Marekani vimeanza mazungumzo nae lakini LA Galaxy ndio inaonekana kuwa kifuambele kuwania saini ya mkongwe huyo ila Gerrard amesema atatangaza baadae kama atakwenda wapi.


REKODI ZA GERRARD LIVERPOOL
691 games, 177 goals
1 Champions League 
2 FA Cups
3 League Cups 
1 UEFA Cup
2 UEFA Super Cups
1 Charity Sheild 

Gerrard has been an inspirational captain for more than a decade, leading the team since 2003

The Liverpool skipper has often been the man to bail his team out on the big occasion with an important goal

Gerrard was man of the match in the 2006 FA Cup final, scoring twice to help Liverpool lift the trophy

Gerrard has won the Cup twice, adding to the eight other trophies he collected during his years at the club

Since making his Liverpool debut in 1998 Gerrard has played almost 500 league games for the club


Gerrard has never won the Premier League title, coming closest last season when Liverpool fell just short

Gerrard has won three league cups during his Liverpool career, and could still win a fourth this season

The former England captain has been rested in recent games, but returned to score twice against Leicester

Despite Gerrard's two spot-kicks Liverpool capitulated against the league's bottom side, drawing 2-2

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top