|
---|
Kombe la
Chama cha soka nchini England FA CUP limeanza leo kwa michezo mingi kupigwa
katika viwanja tofauti nchini humo na haya ni matokeo ya michezo hiyo Newcastle
imeondoshwa nje ya michuano hayo kwa kufungwa 1-0 na Leicester city huku
Swansea City ikishinda kwa ushindi mkubwa wa magoli 6-2 dhidi ya Tranmere
Rovers
|
---|
MATOKEO MENGINE |
---|
| |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni