Aliyekuwa msaidizi wa kocha wa
Manchester united Mike Phelan anaamini kuwa Cristiano Ronaldo huenda
akaandikisha mkataba wa kurudi katika kilabu ya Old Trafford katika siku
sijazo.
Ronaldo amehusishwa na mpango wa kurudi Manchester United
katika muda wake katika kilabu ya Real Madrid ,lakini mpango kama huo
haujazaa matunda kufikia sasa.Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 29 ambaye alichezea Man U anafurahia maisha yake katika kilabu ya Real Madrid lakini Phelan anaamini huenda akashawishika kurudi katika ligi ya Uingereza
0 comments Blogger 0 Facebook
Chapisha Maoni