LOGO

Chanzo cha habari nchini England SKY SPORT wameripoti kuwa Mshambuliaji wa Arsenal Lukas Podolski atasafiri hadi Milan Italia ijumaa hii kwa ajili ya kukamilisha usajili wa mkopo katika klabu ya Inter Milan mpaka mwisho wa msimu huu.

Inter wamepeleka ofa Ardenal kwa ajili ya mshambuliaji huyo wa Kijerumani lakini Kocha wa Arsenal mzee Arsene Wenger ameelezea kama habari hizo ni utani na sio za uhakika.
Akiongea baada ya kufungwa na Southampton katika siku ya mwaka mpya kuhusu Podolski kuondoka  Wenger amesema "ni vigumu kulielezea hilo ila tutaangalia baadae kitatokea nini muda sio wa soko la usajili"Podolski alijiunga na Arsenal akitokea klabu ya Cologne kwa ada ya  £11milion mwaka 2012 na ameshafunga magoli 2012 katika mechi 82 alizocezea Arsenal katika mashindano yote
Podolski mwenye miaka 29 alikuwepo kwenye kikosi cha Arsenal kilichotwaa ubingwa wa dunia nchini Brazil mwaka 2014

0 comments Blogger 0 Facebook

Chapisha Maoni

ZILIZOSOMWA SANA

 
TASWIRA MICHEZONI © 2015. All Rights Reserved. This Blog Proudly Designed by MMC™ Media Group Ltd | Phone +255-786-758-021
Top